Baada ya Benchi la ufundi la Simba kumruhusu kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Perfect Chikwende kwenda Zimbabwe kwa ajili ya kushiriki michuano ya COSAFA inayotarajiwa kuanza kesho Julai 6 mpaka Julai 18 mwaka huu.

Taarifa zilizotoka hivi punde kutoka kwenye kambi ya timu ya taifa ya Zimbabwe zinasema kwamba wachezaji wawili , Perfect Chikwende na Godknows Murimba wameachwa nje ya kikosi cha timu hiyo kutokana na kukutwa na maambukizi ya ugonjwa wa Corona.

ZAFA imethibitsha Kikosi cha wachezaji 20 tu ndo kimesafiri leo kwenda Afrika Kusini tayari kushiriki Michuano ya Kombe la Coasafa.

Manara: Nitatimiza ahadi yangu Jumatano
Penati za Morrison zamkera 'Mo'