Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) Sylvester Mwakitalu amefuta kesi ya uchochezi iliyokuwa inamkabili Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu akisema hana nia ya kuendelea nayo.

DPP amefuta kesi hiyo leo septemba 22, 2021 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

Mbali na Lissu washtakiwa wengine katika Kesi hiyo walikuwa Wahariri wa Gazeti la Mawio na Meneja wa Kiwanda cha Jamana Printers

Kwa taarifa zaidi endelea kufuatia Dar24 Media.

Talibani yaomba kuhutubia katika mkutano wa UN
RC Makalla atoa maagizo kwa Jeshi la Polisi