Leo, Julai 22, 2020, magazeti ya Tanzania yameendelea kumulika zaidi kura za maoni za kuomba kugombea nafasi ya ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Usikose pia kuangalia magazeti yakisomwa kupitia YouTube ya Dar24 Media muda mfupi ujao.

Meneja asimamishwa kazi kwa upotevu wa ng'ome 32
Mama Salma Kikwete, Ummy, Mtoto wa Lowassa waibuka kidedea