Karibu usome habari zilizopewa nafasi kwenye kurasa za mbele na kurasa za nyuma za magazeti ya Tanzania, leo Juni 14, 2021.

Usikose pia kuangalia magazeti yakisomwa kupitia YouTube ya Dar24 Media muda mfupi ujao.

Rais Samia amlilia Profesa Baregu, aeleza atakavyomkumbuka
Ma- DC muwaambie wakulima watakavyonufaika - Majaliwa