Karibu usome habari zilizopewa nafasi kwenye kurasa za mbele na kurasa za nyuma za magazeti ya Tanzania, leo Juni Mosi, 2021.

Usikose pia kuangalia magazeti yakisomwa kupitia YouTube ya Dar24 Media muda mfupi ujao.

Rais Samia asimamisha kazi uongozi wa Kariakoo
Papa Francis amteua Padre Msimbe kuwa Askofu mpya Jimbo Katoliki la Morogoro