Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, January Makamba na kumteua George Simbachawene kushika nafasi hiyo.

Aidha, wakati huo huo Rais Magufuli amemteua Hussein Bashe kuwa Naibu Waziri wa Kilimo. ambapo Bashe anachukua nafasi ya Innocent Bashungwa ambaye aliteuliwa kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara.

Breaking: Manny Pacquiao ampiga Keith Thurman
Siwatishi lakini ni bora mkae kimya kuliko kubwabwaja- Nape Nnauye

Comments

comments