Kocha Mkuu wa Kagera Sugar, Mecky Maxime amesema kuwa mechi zilizobaki watapambana kupata matokeo mazuri ili kuhakikisha wanaiweka timu yao katika nafasi nzuri kwenye msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu 2022/23.

Maxime amesema kuwa kila mchezo unapangwa kutokana na wapinzani ambao watakutana nao uwanjani, hivyo wapo tayari kupambana na kupata matokeo mazuri ambayo yatawafurahisha mashabiki wao mkoani Kagera na kwingineko Tanzania.

“Bado tuna kazi ya kufanya kwenye mechi zetu ambazo tutacheza na tunajua kuwa mzunguko wa pili kila timu inahitaji kupata matokeo ikiwa ni muda hesabu wa kukamilisha kilichokusudiwa.

“Ambacho tunafanya kazi makosa yametokea katika ni kufanyia ambayo mechi zilizopita na tunaamini tutafanya vizuri inawezekana mashabiki wawe pamoja nasi,” amesema ambaye amewahi kukinoa kikosi cha Mtibwa Sugar  

Meridianbet na Timu zenye odds kubwa za kubeti leo  
Rio Ferdinand amchana Carlo Ancelotti