Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo Julai 24, 2017 anaweka jiwe la msingi mradi mkubwa wa maji kutoka viwa Viktoria hadi Kitete Mkoani Tabora. Rais Magufuli yupo Mkoani Tabora kwa ziara ya Kikazi. Bofya hapa kutazama hapa moja kwa moja kutoka Tabora muda huu

Maombi ya 'kumtoa' Lissu yaanza mchakato Mahakama Kuu
Picha: Mama ajifungua pacha walioungana kifuani