Zikiwa zimesalia dakika za lala salama kabla ya uchaguzi wa Urais Marekani kufanyika, wagombe urais, Hillary Clinton na Donald Trump tayari wamefanya kampeni za mwisho mwisho katika majimbo ya yenye ushindani mkubwa ya Carolina Kaskazini, Pennsylvania na Michigan wakihimiza kupigiwa kura.

Kwa upande wake Trump amewaambia wafuasi wake kwamba wana “fursa nzuri ya kuvunja mfumo mbovu na usio na maadili”, huku Clinton naye amewahimiza wapiga kura kuunga mkono kuwepo kwa “Marekani yenye matumaini, inayojumuisha wote na yenye ukarimu”.

Moja kwa mnoja tunakuunganisha kupata yote yanayojili katika uchaguzi huo wenye nguvu kubwa duniani. Bofya hapa kutazama

Video: Simba tumepata pigo kubwa sana - Rage
Ripoti ya tukio la Mwanafunzi kumuua mwalimu darasani yawekwa wazi