Fuatilia hapa moja kwa moja yanayojiri Bungeni  jijini Dodoma, Leo Septemba 7, 2018 katika Mkutano wa 12, kikao cha 3 kipindi cha maswali na majibu.

Mkutano huu wa Bunge unatarajia kumalizika Septemba 14, 2018, ukilenga kufanya marekebisho ya miswada mitano ya sheria.

Diego Armando akabidhiwa rungu Mexico
Video: Mnazomea nini? hata mimi naweza kuwa CCM- Mbunge wa CHADEMA