Tazama hapa moja kwa moja kutoka Zanzibar, kufuatilia maadhimisho ya sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Serikali ya Zanzibar. Mgeni rasmi wa sherehe hizo ni Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, pia katika sherehe hizo wapo viongozi mbali mbali wa kitaifa wakiongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. John Pombe Magufuli

Wanawake wapigwa marufuku kunywa pombe kwa miaka 60
Video: Mbowe atuliza mzuka Chadema, Siri mkataba wa Airtel yafichuka