Mfululizo wa makala zinazo angazia janga la uraibu wa matumizi ya dawa za kulevya , wiki hii umemulika katika kituo cha ‘Sober house’ kilichopo kigamboni (MRC) na kuongea na vijana juu ya njia za kuepukana na uraibu na mbinu za kuokoa kizazi kijacho.

Ni mbinu gani zinatumiwa na kituo hicho kuwasaidia, ratiba ya masomo yao kwa siku na shughuli za maendeleo,…Bofya hapa kutazama

Video: Kumlipia mfungwa faini ni kuunga mkono kosa?
Rais Putin asaini katiba inayombakiza madarakani

Comments

comments