Mwigizaji wa Filamu Tanzania (Bongo Movie), Wema Sepetu leo Septemba 28, 2016 ni siku ambayo anazaliwa ambapo watu mbali mbali ikiwa ni pamoja na mashabiki wa mrembo huyo wamejitokeza kumtakia kila la kheri katika kusherehekea siku yake hiyo ya kuzaliwa. Kai ya watu hao waliomtakia Wema kheri ya kuzaliwa ni pamoja na Mama mzazi wa mwanamuziki nyota wa Bongo fleva, Diamond Platnumz ambaye kupitia akaunti yake ya Instagram amepost picha yake akiwa na Wema Sepetu na kuandika maneno ya kumtakia kheri na baraka kwa kila aombalo. Unaweza kutazama hapa alichokiandika mama yake Diamond Platnumz

Sentensi 16 za Rais Magufuli katika uzinduzi wa Ndege 2 mpya za Air Tanzania
Mahakama yakana kuitambua kampuni iliyotumiwa na NHC kumtimua Mbowe