Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Meridianbet, Matina Nkurlu na Msaidizi wa kitengo cha usalama barabarani Kawe, Inspekta Alex Duguza wametoa elimu ya wiki ya nenda kwa usalama na kuwapatia Reflector’s Bodaboda wa Kawe, zilizotolewa na  Meridianbet.

Akiongea katika eneo hilo, Inspekta Duguza amesema, “Meridianbet hiki mlichokifanya ni kitu kikubwa sana kwani itawasaidia madereva bodaboda kujikinga na ajali za barabarani, huu ni mfano wa kuigwa hata kwa makampuni mengine.”

Meridianbet wababe wa odds kubwa na kasino ya mtandaoni, waliwatembelea Bodaboda wa Kawe na kuwapa Reflector hizo ili waweze kujinga na ajali, huku Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano Meridianbet, Matina Nkurlu akisema kuwa lengo la kutoa Reflector hizo ni kuzuia ajali za barabani ikiwa ni wiki ya nenda kwa usalama barabarani.

“Tumewatembelea wenzetu wa Bodaboda ni wadau wetu hawa na sisi tumeamua kuja kuwaunga mkono kwenye kazi yao hii, tumetoa Reflector maalum kabisa ili kupunguza ajali zinakatisha ndoto zao, hivyo mchango huu kwao utaenda kuchochea kasi ya ufanyaji kazi.”

Ukiwa na Meridianbet, unaweza kubashiri mubashara, na wanakushauri kutembelea maduka ya meridianbet, ili uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni, na uki-Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

Hata hivyo, Habari njema kwako ni kwamba, Meridianbet imesikia ombi la wengi na sasa imekuja na Jackport kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA 14910#

Habari Kuu kwenye magazeti ya leo Machi 16, 2023
Kisa ndege, Balozi wa Urusi aiwakia Marekani