Bondia namba moja nchini Tanzania Hassan Mwakinyo ameingia kwenye orodha ya mabondia 10 bora wa dunia kwa uzito wa Super Welter.

Bondia huyo mwenye urmi wa miaka 26, amepanga kiwango kutoka nafasi ya 14 hadi 10 katika viwango vya ubora Duniani.

Mwakinyo sasa amekuwa bondia wa 10 kati ya mabondia 1,532 duniani ikiwa ni mwezi mmoja baada ya kumtwanga Bondia wa Kimatifa kutoka nchini Namibia Julias Indongo.

Kichapo chamharibu Deontay Wilder
KMC FC yaandaa mpango kazi maalum