Mwanafunzi bora kitaifa katika Mtihani wa Taifa wa Kidato cha nne 2020 Paul Luziga ameeleza kuwa siri ya ufaulu wake ni kumtanguliza Mungu, kuwaheshimu walimu na kufuata ratiba za shule kikamilifu.

Dar24Media imefanya mahojiano maalum (Exclusive Interview) na Paul o ambaye ni mwanafunzi kutoka shule ya sekondari Panda hill ya jijini Mbeya ameeleza kuwa ana matarajio ya kusoma mchepuo wa sayansi (PCM) atakapojiunga na masomo yake ya kidato cha tano huku akielezea matamanio yake ya kutaka kuwa Mhandisi wa mawasiliano.

Bofya hapa chini kutazama mahojiano kamili na Paul Luziga, Mwanafunzi bora Kitaifa kidato cha nne 2020

Fahamu madhara ya kutumia limao kusafisha sehemu za siri
Museveni mshindi Urais Uganda

Comments

comments