Moja ya maajabu ya ELIMU yetu ni kwamba lugha inayotumika kufundishia kuanzia Sekondari mpaka PHD wote walimu na wanafunzi hatuelewi vizuri, yaani acha tu.. mambo ya kujieleza slow kama unacheza movie, alisema Nikki Mbishi katika mitandao ya kijamii.

Nini maoni yako kuhusiana na lugha ya kiingereza inayotumika katika elimu yetu Tanzania, Lugha ambayo ni gumzo kwa idadi kubwa ya watanzania, Ijapokuwa kingereza ni lugha ya kimataifa,  kwa Tanzania ni lugha ya pili kuongelewa ikiongozwa na lugha ya kiswahili ambayo ni lugha ya taifa.

Je kuna umuhimu wa kufanya kiswahili kuwa lugha ya kufundushia katika elumu za sekondari na elimu za shahada, kama zilivyo nchi nyingine zilizoendelea mfano China ambapo lugha ya kichina kwao hutumika katika njanja zote ikiwemo elimu, biashara, uchumi, siasa na tamaduni.

Aunty Ezekiel: ikitokea kwenye muvi natakiwa kukiss najifikiria sana
Majaliwa achangisha mil.138/- za ujenzi wa shule