Meneja wa FC Bayern Munich, Pep Guardiola amekata mzizi wa fitita baada ya kusema alichonacho moyoni kuhusiana na Premier League.
Guardiola amesema ataondoka Bayern Munich mwishoni mwa msimu, amesema hawezi kuongeza mkataba kwa kuwa anataka kwenda Premier League, yaani England.
Kama Guardiola yuko tayari kufundisha Ligi Kuu England, basi timu zinazopewa nafasi ya kumpata ni Chelsea, Man United na Man City.
Kila moja ilionyesha nia ya kuwa naye, lakini yeye hajaonyesha anataka kwenda katika timu ipi.

Azam FC Yakamatwa Na Yanga Zanzibar, Ubabe Watawala
Bahanuzi Aiweka Pazuri Mtibwa Sugar Mapinduzi Cup