Viongozi mbalimbali  wakitoa salamu za rambi rambi kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki wakiaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Moshi Mjini, Mzee Philemon Kiwelu Ndesamburo.

Mzee Ndesamburo ambaye pia ni muasisi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Kaskazini alifariki dunia katika Hospitali ya KCMC, Mkoani Kilimanjaro baada ya kuugua ghafla akiwa nyumbani kwake na kukimbizwa hospitalini hapo.

Mzee Ndesamburo alizaliwa February 19, 1935. Alikuwa mwanasiasa kupitia chama cha demokrasia na maendeleo(CHADEMA) pia kufadhili mambo mengi kupitia chama hicho

  

  

Qatar yatengwa, yadaiwa kuwafadhili Al-Qaeda na ISIS
? Live Breakingnews: Hukumu ya Ester Bulaya, Halima Mdee Bungeni.