Yanayojiri Bungeni Dodoma muda huu Bunge likiamua hukumu ya Mbunge Ester Bulaya, Halima Mdee baada ya Kamati ya Maadili ya Bunge kutoa taarifa yao.

Fuatilia hapa moja kwa moja ya kutoka Bungeni leo Juni 5, 2017. Bofya hapa kutazama muda huu

Picha: Kuaga mwili wa Marehemu Ndesamburo, Moshi
Justin Bieber, Ariana Grande wawafuta machozi wahanga Manchester