Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 3, Januari, 2018 amehani msiba wa Kamishna Msaidizi wa Polisi Mary Lugola ambaye ni Mke wa Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Kangi Lugola.

Samia amehani msiba huo mapema hii leo jijini Dar es salaam ambapo amemtaka Naibu Waziri huyo, ndugu jamaa na marafiki kuwa wavumilivu katika kipindi hiki kigumu.

Video: Majaliwa aomboleza msiba wa mke wa Naibu Waziri Kangi Lugola
Waziri wa mambo ya nje ajiuzulu