Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi leo Agosti 16, 2021 amekutana na Balozi wa Oman nchini , Ali Bin Abdallah Bin Salim Al Mahrooq Ikulu Zanzibar, na kufanya nae mazungumzo lakini pia kumuaga rasmi baada ya kumaliza muda wake wa uwakilishi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Balozi wa Oman Nchini Tanzania Mhe.Ali Al Mahrooq aliyefika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kuaga baada ya kumaliza muda wake wa Kazi Nchini,[Picha na Ikulu] 16/08/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akibadilishana mawazo na    Balozi wa Oman Nchini Tanzania Mhe.Ali Al Mahrooq baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kuaga akiwa amemaliza muda wake wa Kazi Nchini,[Picha na Ikulu] 16/08/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza  Balozi wa Oman Nchini Tanzania Mhe.Ali Al Mahrooq (katikati) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kuaga baada ya kumaliza muda wake wa Kazi Nchini akiwa na Balozi Mdogo wa Oman hapa Zanzibar Mhe. Said Salim Al Sinawi (kushoto),[Picha na Ikulu] 16/08/2021.

Habari kubwa kwenye magazeti leo, Augusti 17, 2021
Safari za ndege zafungwa Afghanistan