Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ametembelea na Kukagua Daraja la JP Magufuli (Kigongo-Busisi km 3) pamoja na Barabara unganishi, Mkoani Mwanza.

Rais Samia ametembelea daraja hilo hii leo Juni 14, 2023 akiwa katika ziara ya kikazi Mkoani Mwanza na zifuatazo ni picha za baadhi ya matukio muhimu katika ukaguzi wa ujenzi wa daraja hilo.

Guardiola apotezea mkataba mpya Man City
Mwamita asikilizia usajili Kagera Sugar