Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi leo Agosti 25, 2021 amekutana na kuzungumza na mabalozi mbalimbali ikulu Zanzibar na kuzungumza nao.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania.Mhe.Mubarak Mohammed Alsehaijan, alipofika Ikulu kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Kasha mgeni wake Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania Mhe.Mubarak Mohammed Alsehaijan, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Balozi wa Jamhuri ya Rwanda Nchini Tanzania Mhe.Maj.Gen.Charles Karamba, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar, leo 25/8/2021.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na mgeni wake Balozi wa Ujerumani Nchini Tanzania Mhe.Regina Hess, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazunguzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkuu wa Kitengo cha Maendeleo na Ushirikiano Ubalozi wa Ujerumani Nchini Tanzania Dr.Katrin Bornemann, wakati wa mazungumzo na Balozi wa Ujerumani Nchini Tanzania Mhe. Regina Hess.(kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)

Majaliwa akagua bandari ya Karema
IGP Sirro athibitisha kuuwawa kwa askari watatu