Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mkoani Kilimanjaro Lengai Ole Sabaya ili kupisha uchunguzi kwa tuhuma zinazomkabili

Habari kubwa kwenye magazeti leo, Mei 14, 2021
Madereva watwangana ngumi