Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu ametuma salamu za pole kwa Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai, Wabunge, Familia ya Marehemu na wananchi wa Ngorongoro kufuatia kifo cha aliyekuwa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji William Tate Ole Nasha.

Nyota R. Kelly apatikana na hatia ya unyanyasaji wa kingono
Live: Rais Samia akishiriki maadhimisho ya miaka 50 na kongamano la wachungaji na maaskofu