Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Agosti 16, 2021 anatarajia kuondoka jijini Dodoma kuelekea nchini Malawi kushiriki mkutano wa 41 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC)utakaofanyika kuanzia Agosti 17 – 18, 2021.

Askofu Gwajima ashikilia msiamamo wake ''nipo tayari kuacha Ubunge''
Serikali yatoa idadi ya waliopata chanjo ya uviko 19