Miili ya 34 iliyofukuliwa kutoka katika shamba la Mchungaji Paul Mackenzie la Shakahoka imefanyiwa upasuaji ambapo sababu ya vifo kwa baadhi ya maiti haikuweza kubainika.

Wataalamu wa upasuaji wamesema, katika miilini 22 haikubainika chanzo cha kifo chake, na miili 12 mingine ilibainika kuwa walifariki kwa njaa.

Aidha ripoti ya wataalamu hao pia ilieleza kuwa, kati ya miili hiyo 21 ni ya wanawake, na 10 ni wanaume huku miili mitatu ikiwa haikutambulika jinsia kutokana na kuharibika.

Taarifa hiyo imebainisha kuwa, Miili 32 imepatikana ikiwa imeharibika kupita kiasi ambapo Watu wazima walikuwa ni 22 na watoto 12.

Erik ten Hag aung'ata sikio uongozi Man Utd
Kocha Mexime afunguka safari ya Morogoro