Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson, ametoa msaada wa matofali 9000 yenye thamani ya Shilingi Milion 24.7 katika Hospitali ya Kanda ya Rufaa Mbeya.

Msaada huo umetolewa hii leo leo Septemba 11, 2023 kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa jengo la upasuaji wa moyo na mishipa ya fahamu katika Hospitali hiyo ya Kanda.

Spika Dkt. Tulia Ackson, akikabidhi hundi ya mfano yenye thamani ya Shilingi Milion 24.7 kwa Uongozi wa Hospitali ya Kanda ya Rufaa Mbeya baada ya kukabidhi msaada wa tofali zenye thamani ya fedha hiyo kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa jengo la upasuaji wa moyo na mishipa ya fahamu katika hospitali hiyo leo Septemba 11, 2023.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson.
Msaada wa tofali zenye thamani ya Shilingi Milioni 24.7 kwa Uongozi wa Hospitali ya Kanda ya Rufaa Mbeya kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa jengo la upasuaji wa moyo na mishipa ya fahamu katika hospitali hiyo.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson, akikagua eneo ambalo linajengwa jengo la upasuaji wa moyo na mishipa ya fahamu katika Hospitali ya Kanda ya Rufaa Mbeya mara baada ya kukabidhi msaada wa tofali.

Tshishimbi ampagawisha Goran Kopunovic
Inter Milan yamkosha Javier Zanetti