Meya wa jiji la London, amepitisha kuanza kwa ujenzi wa uwanja mpya wa kisasa wa klabu ya Tottenham.

Uwanja huo utaigharimu Spurs kitita cha pauni million 400 na utakuwa na uwezo wa kuingiza watu 61,000 waliokaa vitini.
Spurs ina matumaini, itaanza kuutumia rasmi uwanja huo katika msimu wa mwaka 2018-19 na manispaa hiyo imeeleza dhahiri kuwa wanaweza kuanza ujenzi wa uwanja huo wa ndoto yao.

Kilimanjaro Marathon Ruhusa February 28
Arsenal Kumkosa Chamberlain Kwa majuma Kadhaa