Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limetangaza matengenezo ya dharura ya umeme katika maeneo ya Ubungo-Makumbusho katika Jiji la Dar es Salaam

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na shirika hilo imewatahadharisha wananchi kutokushika wala kukanyaga nyaya iliyoo chini.

Taarifa hiyo imeaainisha maeneo yatakayo athirika ni Masaki, Msasani, Mikocheni, Sinza, Kawe, Lugalo, Mwenge, Kijitonyama, Regent, Makumbusho, Victoria, Mwananyamala, na maeneo ya viwanda mikocheni.

“Tafadhali usishike nyaya wala kukanyaga waya uliokatika, Toa taarifa Ofisi ya Tanesco iliyo karibu nawe au piga simu samba 0748550000,” imesema tarifa hiyo.

Gari linalotumia umeme pekee lazinduliwa
Otile Brown  namba moja youtube Kenya