Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassani leo Agosti 2, 2021 ameanza ziara rasmi nchini Rwanda ya siku mbili kwa mwaliko wa Rais wa nchi hiyo Paul Kagame, ikiwa na lengo la kuboresha mahusiano ya nchi zote mbili hasa katika nyanja za uchumi, biashara na uwekezaji.

Akihutubia nchini humo Rais Samia pia amepata nafasi ya kushuhudia utiaji saini wa hati ya mahusiano katika upande wa TEHAMA, afya, uhamiaji pamoja na elimu.

Habari kubwa kwenye magazeti leo, Augusti 3, 2021
Majaliwa azindua mafunzo ya uanagezi awamu ya 3