TP Mazembe ya Congo DR asubuhi ya leo imeshindwa kuchukua nafasi ya tano katika mchezo wa kusaka nafasi hiyo uliochezwa huko nchini Japan.

Ikicheza dhidi ya Club America, Mazembe ilijikuta ikilala kwa mabao 2-1 katika michuano ya klabu bungwa ya dunia.

Jumapili iliyopita Mazembe ilikwama katika hatua ya robo fainali kwa kufungwa 3-0 na S.Hiroshima.

Mechi hiyo ya leo ilianza saa 4:30 kwa saa za Afrika Mashariki.

Samuel Eto’o Abebeshwa Zigo La Ukocha
Kasi ya Magufuli: Kaya Mpya Milioni 1 Kuunganishiwa Maji Safi na Salama Ndani Ya Miezi Sita Ijayo