Rais mteule wa Marekani, Donald Trump amesema yuko tayari kuanza kuwasafirisha makwao wahamiaji haramu milioni  tatu  kutoka Marekani baada ya kuapishwa kuwa rais wa nchi hiyo.

Trump amesema wahamiaji wote wenye rekodi za uhalifu, ikiwemo makundi ya wahalifu na wauza dawa za kulevya ndio watakuwa kipaumbele chake cha kwanza kuwarudisha makwao, ameongeza kuwa sehemu ya ukuta ambao aliahidi kujenga kwenye mpaka baina ya nchi yake na Mexico, utakuwa  ni uzio wa  kuzuia wahamiaji hao haramu.

Gareth Southgate Aipa FA Mwezi Mmoja
Alexis Sanchez Kuiongoza Chile Dhidi Ya Uruguay