Kamati ya uchaguzi ya klabu ya Yanga imetangaza majina ya wagombea 21 waliochukua fomu za kugombea nafasi mbali mbali huku wawili wakikatwa kutokana na kushindwa kukidhi vigezo.

Mjumbe wa kamati hiyo Bakili Makele kwa niaba ya Mwenyekiti Sam Mapande amewataja waliokatwa kuwa ni Yusuph Shaban Mhandeni na Injinia  Leornad Marango.

Majina yaliyopitishwa ni

  1. Samwel Charles Lukumay. -Mjumbe
  2. Salum Bakari Mkemi -Mjumbe

3.Beda Tindwa  – Mjumbe

4.Lameck Nyambaya. -Mjumbe

5.David Ruhago  – Mjumbe

6.Ayoub Nyenzi  – Mjumbe

7.George Manyama  – Mjumbe

8.Yusuf Manji  – Mwenyekiti

  1. Clement Sanga -Makamu

Mwenyekiti

10.Silvester Haule – Mjumbe

11.Siza Lyimo  – Mjumbe

12.Hussein David – Mjumbe

13.Hashim Mdhihiri – Mjumbe

14.Athumani Kihamia  – Mjumbe

15.Pascal Laizer  – Mjumbe

16.Godfrey Ayoub – Mjumbe

17.Bakari Malima – Mjumbe

  1. Mchafu Ahmed – Mjumbe

19.Thobias Bosco Lingalangala – Mjumbe.

Kamati hiyo itakutana tena kesho saa tatu asubuhi kufanya usaili wa wagombea wote na baadae itaanza kupitia pingamizi.

Wadau Wa Soka Wakutana Na TFF Kufanya Maboresho
Los Cafeteros Yachanua Mbele Ya Wenyeji Wa Copa America 2016