Sub-heading: Jisajili Meridianbet upate mizunguko 50 bure ya kucheza moja ya mchezo wa kasino ya mtandaoni utakaopenda! Kujisajili bonyeza hapa https://a.meridianbet.co.tz/c/vaoi1Y

Sloti ya Pumpkin Patch

Maisha ni rahisi sana kama utaichagua kasino ya mtandaoni ya Meridianbet huko ushindi ni uhakika mtu wangu, kwa kuthibitisha hili leo nakutambulisha kwako moja ya mchezo rahisi sana kupiga mtonyo unapokua unacheza kasino ya mtandaoni ni sloti ya Pumpkin Patch ushindi huku ni kama kunywa maji.

Pumpkin Patch ni mchezo wenye maudhui ya siku ya Halloween uliotengenezwa na watengenezaji maarufu wa michezo ya kasino Habanero. Licha ya mchezo huu wenye maudhui ya siku maruhani (Halloween), Sloti ya Pumpkin Patch imekuwa ni moja ya mchezo unaopendwa zaidi kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet.

Mchezo huu wa kusisimua una kolamu 5 na mistari 25 ya malipo na kubwa Zaidi unakujia na jakipoti kubwa mbili. Unasubiri nini? Jiunge na familia ya mabingwa ya Meridianbet ili uweze kuwa mshindi.

Namna ya Kucheza Sloti ya Pumpkin Patch

Jinsi ya kucheza mchezo huu wa kasino ya mtandaoni ni rahisi sana. Unachotakiwa kuwafanya ni kubofya kitufe chenye neno *Spin kuanzisha mzunguko ambapo Sloti ya Pumpkin Patch ina alama kuu mbili.

Alama ya Boga linalo cheza likiwa kwenye kifukuzia kunguru na alama ya Wild. Ikiwa alama ya Kunguru ikaangukia pembeni ya Boga, itasababisha boga hilo kusambaa kwenye kolamu ya sloti na kutengeneza alama ya ushindi yenye kukuletea malipo ya kiwango kikubwa iitwayo Complex Wild.

Kama Kindi (Squirrel) akiangukia pembeni ya Boga, basi Boga hilo litabadilika na kuwa alama ya ushindi ambayo itakutea malipo mara mbili ya mwanzo iitwayo Wild.

Ndio! Ni Meridianbet pekee ndio inayo kuhakishia ushindi kwa kukupa Bonasi, Odds kubwa na Promosheni za kipekee. Sio hivyo tu, Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet ya sloti ya Pumpkin Patch inakupa nafasi ya kushinda mizunguko kibao ya bure. Jiunge sasa kupitia  https://www.meridianbet.co.tz na upate bonasi ya bure ya kuanzia.

David Moyes ajishtukia West Ham United
PICHA: Simba SC yawasili Casablanca-Morocco