Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko ya baadhi ya viongozi kwa kuwateua Makatibu Tawala wa Mikoa watatu na kuwahamisha vituo vya kazi wengine
watatu.

Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa kwa Vyombo vya Habari hii leo Machi 16, 2023 na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu imeeleza kuwa, Rais Samia pia amefanya uteuzi wa Kamishna wa Mamlaka ya Kudhibiti Dawa za Kulevya na viongozi hao wataarifiwa tarehe ya kuapishwa hapo baadaye.

Madaktari Bingwa wapiga kambi, waanza upasuaji Tabora

Waliogomea wito wa Naibu Waziri watakiwa kujieleza
Fedha za Rais Samia zinatupa morali kubwa: Young Africans