Jumapili iliyopita, Ruby alikuwa ndani ya The Playlist ya 100.5 Times Fm na kufanya mahojiano na Omary ‘Lil Ommy Tambwe’, yaliyopewa jina la ‘interview ya kibabe’.

Mwimbaji huyo wa ‘Yule’ aliyechipuka kwenye mkondo mkuu wa muziki Tanzania miaka miwili iliyopita na kupata mafanikio makubwa kwa kipindi kifupi, alijibu maswali mengi ‘exclusive’ na kuchagua nyimbo tano anazopenda kusikiliza.

Enjoy:

Xavi Hernández: Natamani Kurudi FC Barcelona
Msechu Adai Kupata au Kukosa Tuzo Sio ‘Ishu’