Chama cha ACT-Wazalendo kimefanya mabadiliko makubwa ya uongozi ndani ya chama hicho huku baadhi ya viongozi wakibaki wanachama wa kawaida.

Hayo yamesmwa na Naibu Katibu Mkuu wa Taifa ACT-Wazalendo, Doroth Semu alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari, amesema kuwa mabadiliko hayo yanalengo la kuimarisha na kuboresha utendaji kazi ndani ya chama hicho hivyo uteuzi huo umeanza mara moja.

“Ndani ya Chama Kiongozi wa chama kwa kufuata kanuni na sheria amefanya mabadiliko katika ngazi mbalimbali na lengo kuu la mabadiliko haya ni kuweza kukiimarisha chama na si vingine,”amesema Doroth

 

Video: Kampuni ya Yono yakamata magari ya wadaiwa sugu jijini Dar
Video: Majaliwa aagiza huduma za afya zisifungwe wakati wa zoezi la usafi