Chadema yazidi kumong’onyoka, Mwenyekiti, Mwenezi watua CCM, CUF yasema Maalim Seif hapimi akili ng’o, Hatima ya hekalu la Mch. Rwakatare leo, ripoti kwanini limesimama ‘beach’ yatua mezani kwa Naibu Waziri mpya kwa uamuzi, Odinga kujitangaza Rais Kenya…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Oktoba 30, 2017. Tazama video

Afya ya Lissu yaendelea kuimarika
Serikali yataifisha kundi la ng'ombe kutoka Rwanda