Ureno imetwaa ubingwa Euro 2016 baada ya kuifunga Ufaransa 1-0. Ubingwa huo ulipatikana katika dakika ya 109 baada ya mshambuliaji wake Eder kuifungia goli la shuti la mbali la kushtukiza lililomshinda mlinda mlango wa timu ya Ufaransa.

katika mchezo huo Cristiano Ronaldo alishindwa kumaliza dakika 90 za mchezo huo mkali wa fainali baada ya kujeruhiwa goti na kulazimika kwenda kutibiwa kabla ya kurudi bechi na kuanza kutoa maelekezo mithili ya msaidizi wa kocha wake, Fernando Santos.

Haya hapa matukio bora ya  EURO 2016

Ubungo tutakuwa Wilaya ya Tofauti- Polepole
Mionekano ya Mastaa wikiend hii