Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Kassim Majaliwa amewasili Mkoani lindi kwa ziara ya kikazi ya siku nne.

Majaliwa meongozana na Mke wake Mery Majaliwa, ambapo walipokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Lindi Godfrey Zambi  pamoja viongozi wa wilaya za Mkoa wa lindi ambao walifika katika mapokezi katika uwanja wa ndege wa Nachingwea.
Tayari ameanza ziara yake katika wilaya ya liwale kwa ajili ya kukagua shughuli za maendele  najioni yaleo atukuwa na mkutano wa hadhara nakuzungumza na wananchi wa liwale  pamoja na kusikiliza kero zao, pia  kesho ataenda katika wilaya ya Ruangwa.

Chadema yatangaza oparesheni ‘Ondoa Msaliti’
Halima Mdee aachiwa kwa dhamana