Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amepokea Pikipiki za kisasa 10 kwaa jili ya Askari wa Usalama Barabarani zenye thamani ya Shilingi Million 400 kutoka kampuni ya utengenezaji wa Pikipiki ya TONGBA ya China.

Hatua hiyo inakuja baada ya Mkuu huyo wa Mkoa kutafuta kampuni hiyo na kuwasilisha ombi la kupatiwa Pikipiki za kisasa kwa ajili ya kuongoza misafara ya viongozi, Misiba na kuwahisha hospitali wagonjwa waliozidiwa.

Video: Makonda aagiza kukamatwa kwa askari wanaowalinda wauza dawa Jijini Dar
Jafo awapa tano watendaji Manispaa ya Kigamboni