Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amesema kutakuwepo mfumo maalum kwa madereva Tax Dar es salaam utakaoonyesha umbali wa abiria anapokwenda ili alipe nauli kulingana na umbali huo na ajue bei hiyo kuliko kukadiria.

Makonda amesema ili kufanikisha hayo ataziondoa Tax bubu zote na utaratibu wa kuweka rangi na namba kwenye magari utarudi ili Tax zote zitambulike.

Makonda amesema hayo leo Januari 26, 2017 wakati alipokutana na Umoja wa Madereva wa Tax ili kusikiliza kero zao zinzowakabili katika kazi hiyo.

Mchuchuma, Liganga kuanza uzalishaji
Video: Makonda kuleta Helmenti za 'takeaway' Dar