Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amewapa wiki mbili wakuu wa wilaya zote tano kusoma kutengeneza mpango kazi katika maeneo yao, Akizungumza baada ya kuwaapisha wakuu wa wilaya hao Makonda ametoa onyo la kuwaondoa wakuu wote watakaoshindwa kutekeleza mpango kazi ambao watalazimika kuuwasilisha mbele ya wananchi mara baada ya kusaini mkataba.

Mr Blue aeleza alivyokacha uvutaji bangi, ulevi na kufanikiwa
Vidokezo Muhimu vya Kupambana na Kipindupindu