Mkemia Mkuu asema Manji anatumia ‘unga’, Mashahidi wamtaja manji, Bombardier yamtia Lissu matatani, Chadema sasa yasema ni mara ya 11 kikamatwa, IGP sasa ‘ajitosa’ miili 15 kwenye viroba baharini…,Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Agosti 23, 2017. Tazama video

Watanzania 2 kutua Man City kwa majaribio, Mwakyembe atoa baraka zake
Serikali kuboresha huduma za anga visiwani Zanzibar