Mugabe alitunishia jeshi msuli, ataka kukaa hadi mwisho wa muhula wake, China yahusishwa na mapinduzi hayo, Nyumba Lugumi kunadiwa upya, Dkt. Shika wa ‘900 itapendeza’ ajipanga kivingine, Spika aonya muswada kutengeneza udikteta, utata wa jina waibuka kuhusu Nasaco na Nasac kufanana…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Novemba 17, 2017. Tazama video

Sakata la Kakolanya kuidai Yanga lachukua sura mpya
Prof. Kitila Mkumbo ajiunga rasmi CCM