Mjane wa Marehemu Komba, Salome Komba amesema kuwa marafiki na wageni wengi waliokuwa wakiwatembelea nyumbani kipindi mume wake akiwa hai wamepungua.

Ameyasema hayo wakati akizungumza na Dar24 Media nyumbani kwake jijini Dar es salaam ambapo amesema kuwa kwasasa marafiki wamepungua.

Amesema kuwa viongozi mbalimbali waliokuwa wakiwatembelea kipindi mumewe akiwa hai kwasasa wamekuwa ni adimu.

“Kwakweli ninamshukuru marehemu mume wangu kwa kunijenga na kunifundisha kujitegemea, alipokuwa hai kila siku alikuwa akinisisitiza kujitegemea,”amesema Salome

Magazeti ya ndani na nje ya Tanzania leo Machi 3, 2018
Polepole adai ukabila unaikosesha ushindi CCM Mbeya Mjini