Kipindi cha maswali na majibu kimeendelea Bungeni leo na kati ya stori kutoka bungeni ni ya Waziri wa afya, maendeleo ya jamii, jinsia na watoto, Ummy Mwalimu kuitaka Hospitali ya Muhimbili kutoa maelezo rasmi baada ya gazeti la Mwananchi kuandika iliyofikishwa bungeni na Mbunge Ridhiwani Kikwete.

Kufuatia taarifa hiyo Serikali imeweka wazi madawa ambayo yatakuwa yanaotoewa bure.

Mh.Zambi atembelea miradi mbalimbali wilayani Ruangwa
Alshabaab yakiri kutekeleza shambulio la Kenya