Mchekeshaji kutoka nchini Kenya anayefahamika kwa jina la Kajairo ameurudia upya wimbo wa ‘zigo remix’ ya Ay na Diamond, Imekuwa kawaida kwa Wachekeshaji wa Kenya kurudia nyimbo za bongofleva kwa njia ya kuchekesha.

Huu hapa wimbo na video yake, Kajairo – Ay Feat Diamond Zigo Rmx Parody: Kajasho

Hans Poppe: Kamati Yangu Haipendekezi Mchezaji Wa Kusajiliwa
Michael Carrick Kuutumikia Utawala Wa Jose Mourinho